Wakuu wa afya habari?
Niende kwenye Mada moja kwa moja...
Inasemekana kitovu cha mtoto wa kiume kikidondokea Kwenye Uume kwa mtoto wa Kiume kuwa Atakuwa Hazai,Hawezi zalisha Au kuwa Hanithi?
Msaada Tafadhali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.