Bieng Gineous
Member
- Jan 30, 2013
- 18
- 13
katika daladala kitoto cha nursery kikawa kinaimba..: "Baba angekuwa jogoo,na Mama kuku,mm ningekuwa Kifaranga"... Abiria wote kimya..! Kikaendelea tena kuimba..:"Baba angekuwa Beberu, na Mama mbuzi,mm ningekuwa Ndama"... konda akaona kitoto kinamzingua akakiuliza..;je Baba yako angekuwa Mlevi,na mama Malaya,we ungezaliwa nani..? katoto kakajibu ningekuwa KONDA WA DALADALA.....!!!