mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Ukishuka tu stendi hapo nje kidogo ya stendi kuna hotel Inaitwa MR HOTEL ulizia mtu maeneo ya hapo wapi mabanda ya CCM utakua umefika ni mita 200 tu.Nakumbuka sana mitaa hiyo hua nikienda Iringa sikosi hapo.Ila Take care
Ni pm niko hapa ccm kwenye kitimoto...nafasi adimu hii
ukila kitimoto utapata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu
Huko mtaani umekosa wala ngurue wenzio ukawauliza? Watanzania sijui tukoje
Ndo sehem gani
Huko mtaani umekosa wala ngurue wenzio ukawauliza? Watanzania sijui tukoje
MKUU VP ULIFANIKIWANimetua iringa..nahitaji kujua sehemu gani hapa town ilio tulivuuu wanayochoma au kuroast kitimoto kizuurii nataka nikajipe raha jioni hii mwenzenu maana nina uchovu si wa kawaida...
Asante
MKUU VP ULIFANIKIWA
kwaNINI MKUUHivi mkuu umeanzajeanzaje kuufukua huu Uzi?
Jina la mabanda ni tatizo sidhani hata k'moto itashukaUkishuka tu stendi hapo nje kidogo ya stendi kuna hotel Inaitwa MR HOTEL ulizia mtu maeneo ya hapo wapi mabanda ya CCM utakua umefika ni mita 200 tu.Nakumbuka sana mitaa hiyo hua nikienda Iringa sikosi hapo.Ila Take care
Hayo mabanda ni ya ccm au ni jina tu. Je wanaokaanga ni wana ccm ?inategemea na umefika wapi,kama upo mjini CCM ndo sehemu maarufu kwa iyo kitu apa iringa.
..hukusoma tarehe,kwaNINI MKUU