residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,170
- 14,856
Unawezaje kuwa na Dira ya Taifa ya miaka 50 halafu huna "National Bureau of Research" inayowezesha tafiti na kukusanya tafiti zote!!???Kiukweli humu JF tuna viazi mbatata za ajabu sana!, mtu ambaye ndie alikuwa think tank wa Chadema, baada ya kutimuliwa Chadema, ndio ukawa mwisho wa Chadema kufanya siasa za kimikakati na kukumbatia siasa za matukio!
Hiki ndio kichwa behind DIRA ya Taifa na ilani ya CCM!, halafu kilaza mmoja anakuja kumponda, huwezi jua 2030 atakuwa nani, just wait and see!
P
Kitila wengine tunamfahamu vyema maana tumemkaribisha UDSM na kumpa ushirikiano mkubwa kwenye taaluma,hivyo uwezo wake tunaujua.
Halafu hili la "huwezi jua 2030 atakuwa nani...", kwani mleta uzi amekwambua naye ni mnyenyekeaji wa watu wenye nafasi!!??