Kitilaaaa

Hata zito alipopewa uenyekiti wa kamati ya fedha na mipango bungeni mambo yalibadilika
 
Call them Daud Bashite Hostels kutambua mchango wa RC katika utendaji kazi wake uliotukuka
 
Kwani hizo hela kazitoa mfukoni mwake si ni kodi za watz.

Acheni kuziabisha hizo PhD zenu ndio maana Saanane alikuwa anawahenyesha mpaka mkamppteza.
Kwani saa8 mmeficha wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…