GE2025 Kitila: Samia amepunguza gharama za maisha amekuza kipato cha mtanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
“Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya miradi 900 na ajira nyingi zimezalishwa. La pili ni serikali kuweka mazingira ya kupunguza gharama za maisha kwa watu wake ili kipato wanachopata kibaki mfukoni, serikali ya Mama Samia imeweza kupeleka kwa wananchi moja kwa moja kwenye mifuko yao zaidi ya shilingi Trilioni 5.7 na wananchi Milioni 11 wamenufaika.

Wananchi wamenufaika kupitia hatua muhimu nne ambazo ni kupitia mpango wa Kaya maskini ambapo alipeleka shilingi Bilioni 961 na watu Milioni 5 waliweza kunufaika, la pili ni kupitia programu yake ya ruzuku za mbolea, Bilioni 693 na wananchi Milioni 2.2 wamenufaika moja kwa moja.

Hatua nyingine ni kupitia programu ya elimu bila ada, Mama Samia amepeleka shilingi Trilioni 1.138 na wanafunzi zaidi ya Milioni 3 wamenufaika na hatua ya nne ni kupitia programu ya kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu ambapo Shilingi Trilioni 2.607 zimekwenda kwa wanafunzi na hizi ni fedha ambazo kwa namna moja ama nyingine ilibidi wazazi wazilipe lakini zimebaki mifukoni mwao na ni serikali ya Mama Samia iliyosaidia fedha hizi zibaki mifukoni mwa mwananchi ziongeze kipato na zipunguze gharama za maisha.”- Prof. Kitila Mkumbo, Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2025/30, akizungumza Moshi Mjini kwenye Kampeni za Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba Mosi, 2025.

Anatwambia au anatuuliza ? Sababu nadhani ni sisi wa kitaa whom we know better.....; Tena kwa ushauri wanachofanya ndio kinaharibu bora wangeacha kila kitu kiende co-pilot huenda mambo yangekuwa bora zaidi....

Lakini sishanghai walaghai sometimes wanaweza kuamini ulaghai wao....

“Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya miradi 900 na ajira nyingi zimezalishwa. La pili ni serikali kuweka mazingira ya kupunguza gharama za maisha kwa watu wake ili kipato wanachopata kibaki mfukoni, serikali ya Mama Samia imeweza kupeleka kwa wananchi moja kwa moja kwenye mifuko yao zaidi ya shilingi Trilioni 5.7 na wananchi Milioni 11 wamenufaika.

Wananchi wamenufaika kupitia hatua muhimu nne ambazo ni kupitia mpango wa Kaya maskini ambapo alipeleka shilingi Bilioni 961 na watu Milioni 5 waliweza kunufaika, la pili ni kupitia programu yake ya ruzuku za mbolea, Bilioni 693 na wananchi Milioni 2.2 wamenufaika moja kwa moja. Hatua nyingine ni kupitia programu ya elimu bila ada, Mama Samia amepeleka shilingi Trilioni 1.138 na wanafunzi zaidi ya Milioni 3 wamenufaika na hatua ya nne ni kupitia programu ya kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu ambapo Shilingi Trilioni 2.607 zimekwenda kwa wanafunzi na hizi ni fedha ambazo kwa namna moja ama nyingine ilibidi wazazi wazilipe lakini zimebaki mifukoni mwao na ni serikali ya Mama Samia iliyosaidia fedha hizi zibaki mifukoni mwa mwananchi ziongeze kipato na zipunguze gharama za maisha.”- Prof. Kitila Mkumbo, Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2025/30, akizungumza Moshi Mjini kwenye Kampeni za Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba Mosi, 2025.
IMG-20250929-WA0021.jpg
 
Rubbish
 
Walah siwez kwenda kwenye kampeni za ccm hata nikilipwa, vitu wanavoongea vinatia hasira unaweza jikuta umerusha mawe uingie matatani 😡
 
Kukosa hekima ni hasara kubwa sana. Kukumbatia ujinga ndio anaita ujanja. MUNGU amlaani vizazi saba.
 
Jamaa bado hawabadiliki pamoja na kuwa watanzania wamebadirika sana kimtazamo
 
“Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya miradi 900 na ajira nyingi zimezalishwa. La pili ni serikali kuweka mazingira ya kupunguza gharama za maisha kwa watu wake ili kipato wanachopata kibaki mfukoni, serikali ya Mama Samia imeweza kupeleka kwa wananchi moja kwa moja kwenye mifuko yao zaidi ya shilingi Trilioni 5.7 na wananchi Milioni 11 wamenufaika.

Wananchi wamenufaika kupitia hatua muhimu nne ambazo ni kupitia mpango wa Kaya maskini ambapo alipeleka shilingi Bilioni 961 na watu Milioni 5 waliweza kunufaika, la pili ni kupitia programu yake ya ruzuku za mbolea, Bilioni 693 na wananchi Milioni 2.2 wamenufaika moja kwa moja.

Hatua nyingine ni kupitia programu ya elimu bila ada, Mama Samia amepeleka shilingi Trilioni 1.138 na wanafunzi zaidi ya Milioni 3 wamenufaika na hatua ya nne ni kupitia programu ya kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu ambapo Shilingi Trilioni 2.607 zimekwenda kwa wanafunzi na hizi ni fedha ambazo kwa namna moja ama nyingine ilibidi wazazi wazilipe lakini zimebaki mifukoni mwao na ni serikali ya Mama Samia iliyosaidia fedha hizi zibaki mifukoni mwa mwananchi ziongeze kipato na zipunguze gharama za maisha.”- Prof. Kitila Mkumbo, Mwanasiasa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2025/30, akizungumza Moshi Mjini kwenye Kampeni za Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba Mosi, 2025.

Huyu Prof. Alikuaga anapingilia plan na ushauri umavutia sana. Sijui kakumbwa na nini, siku hizi ni kama anatapa tapa tu katika platform mbali mbali
 
Back
Top Bottom