Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
ni hoja nzuri. na pia kwa jambo hili kama udasa mkiwa approach donors ni rahisi kupata fedha za kutosha kueneza elimu kwa watz
siungi mkono, serikali itenge na kutumia rasilimali zetu, hakuna haja ya kuwabebesha mzigo wa tz wachache au labda serikali iwalipe hawa walimu kama konsaltants.
kuandamana tu wacha wafyatue risasi tufe kwa ajili ya watoto na wajukuu zetu,kilichotokea nkruma juzi kimeshasahulika zamani lakini kilichotokea arusha tarehe 5 january hakitasahulika kamwe kimeishaingia wenye kumbukumbu za dunia so solution na peples power,
nawasilisha
Mkuu ni muhimu sana wakaanza na sisi Watanzania. Kama tutawaangusha na wakakwama basi wanaweza kwenda kwa Wafadhili japo binafsi nachukia sana kwenda kwa Wafadhili kwa jambo ambalo liko ndani ya uwezo wetu. Kwa mfano kila simu ya mkononi ikichangia shilingi 25 tu kwa wiki (shilingi 100/= tu kila mwezi) wana uhakika wa kupata zaidi ya shilingi milioni 2000 kila mwezi. Hizi shilingi bilioni 2 zitafanya kazi kubwa sana kama tukiweka mbele moyo wa kujitolea ambao UDASA ndiyo wanautumia zaidi katika kufanikisha mambo yao. Kutoka kwangu wategemee kupata angalau shilingi elfu 20 kila mwezi wa muda wote watakaoendesha hiyo midahalo katika sehemu mbalimbali hapa nchini.