DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Profesa Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo kupitia CCM, ameendelea na kampeni zake Kata ya Mabibo akifuatana na mgombea udiwani Ashura Seng’ondo. Wananchi wametaja changamoto kubwa kuwa ni barabara ya Bint Kayenga, hususan kipindi cha mvua. Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo chini ya mradi wa DMDP na mkandarasi anatarajiwa kuanza ujenzi muda wowote baada ya kupata eneo la kuweka mitambo.
Vipi mbunge wako amepita mtaani kwako? na je, Wananchi wanapaswa kuwa na nafasi gani katika ufuatiliaji na uwajibikaji wa miradi ya maendeleo?
Vipi mbunge wako amepita mtaani kwako? na je, Wananchi wanapaswa kuwa na nafasi gani katika ufuatiliaji na uwajibikaji wa miradi ya maendeleo?