Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,200
- 3,603
Mkuu...wazungu wa wingereza wana methali yao, wakisema "the lips of righteous teaches many, but fools die for want of wisdom"..Huyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
[emoji1] [emoji1]Inatosha bhana, wasije wakatuongezea bei ya mafuta.
HISTORIA, MNAKUWA WEPESI KUSAHAU HISTORIA. AMETOKA CDM KWA USALITI, HUYU NI MSALITIT TU! AMEANZA KUTUSALITI ETI BAJETI INATOSHA. MSALITI NI MSALITI TU. CDM WALIKUWA NA HAKI YA KUMFUKUZAHuyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
Inawezekana kweli inatosha endapo itatumiwa kwa nidhamu ya hali ya juu pasipo na ufujaji...
Ni rahisi kumabadilisha shetani akawa mwema akikaa na Malaika kuliko kumpeleke Malaika kwenye kundi la Mashetani, naye atakuwa shetani!Huyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
Yeye anasema Zinatosha kama zikitolewa zote...KATI YA BILIONI 900 ZILIZOTENGWA KTK BAJETI YA 2016/17, ZILIZOTOLEWA NI BILIONI 150 TU
HIZI BILIONI 650 ZIKITOLEWA ZOTE ZITATOSHA.-----MSUKUMA.
NGOJA NINUNUE GAZETI NIONE KITILA KWANINI KASEMA ZINATOSHA NDIYO NIWEZE FAHAM KUWA ZINATOSHA AU VIPI.
Mchawi mpe mwanao amleeHuyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
Kwa maelezo yake kama zitatolewa zote.Ukitaka kuipima hii Wizara ya Maji fanya analysis hii ndogo..
Bajeti ya 2016/17 ilikuwa Tsh 900+Bil zilizotolewa ni around 192 Bil Tu.
Maana yake miradi mingi haikutekelezwa kwenye mwaka wa fedha unaoisha kwasababu Hazina ilitoa fedha kidogo sana.
Haya sasa Bajeti hii ya 2017/18 ni Tsh 600+ Bil, sijui zitatoka ngapi.
Ukumbuke kuna viporo kibao huko nyuma.
Halafu Mnafiki anakwambia hela Zinatosha.
-amesema endapo pesa zote Bil672 zinatosha kutekeleza mipango yote ya mwaka huu.
-Amesema pamoja na kujitosheleza kwa miladi hiyo, bado wizara hiyo imepata mkopo wa Dola 500 Mil kutoka Exim Bank India, ambayo itatolewa kwa muda wa miezi 30 itakayosaidia miradi katika miji 16 Tanzania bara na mmoja Zanzibar.
-Wakipata fedha hizo zitasiaidia zaidi katika kutekeleza miradi yao.
Maelezo zaidi:http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...-mwaka-huu/1597578-3927304-yypslwz/index.html