Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuna kipindi wakati anahojiwa nilisikia akisema tena akirudia mara nyingi sana na kumnukuu Obama kwamba ,,Africa needs strong Institutions and not strong men" na kwamba alisema Raisi Magufuli alipaswa kujenga Institutions au Taasisi, binafsi sikubaliani na hili kwani nilishindwa kuelewa ulimaanisha nini uliposema Taasisi, na ni Taasisi gani ambayo Raisi wetu anapaswa kuijenga ambayo haipo!
Sasa kazi kwako kujenga hiyo Taasisi uliokuwa unaoiongelea, na usiseme kwamba wewe siyo Raisi wa nchi kwani kama Katibu Mkuu wa Maji na Mifugo unaweza kujenga Taasisi ambayo itakuwa mfano kwenye hiyo Wizara ...
Kila la Heri Kitila Mkumbo (PhD)!