Kithethe Cha Tyson

Kithethe Cha Tyson

Lalo Salamanca

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
1,561
Reaction score
1,174
Tyson ana kithethe and some guy just made a fun of him kwenye hili sakata la JayZ na shemeji yake. LOL!!
 

Attachments

  • 1400147172221.jpg
    1400147172221.jpg
    42.8 KB · Views: 294
LOL=Lucifer Our(your) Lord usilitumie tena otherwise ulitumie kama wewe ni muumini wake mtiifu
 
chanzo cha ugomvi ilikuwa nini??
Solange alikuwa mitungi,

Kingine bibie SOLANGE baada ya kuachana na kurekodi kwa JIGGA ikabidi aondoke Brooklyn na kuhamia New Orleans, sasa kule hauzi(hapalipi), sasa hiyo imekuwa moja ya kitu kinachomtatiza kichwa, anakuwa mtu wa kisiriani na mihasira hasira isiyokuwa na msingi.

Sasa sijui tatizo ni hilo tu au mzee JIGGA nae anachepuka/aliwahi chepuka, huwezi jua binadamu sisi
 
Mkuu huyu jamaa enzi zake ni hatari sana na alikuwa akiwatoa kamasi kubwa wapinzani wake na sitamsahau kwa muve zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom