kithembe

kithembe

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,993
haruthi ilikuwa ndhuri!, bibi haruthi alipendedha utathema mbalamwedhi. toa na we yako
 
kura nimekura pa kurara je? sio kithembe lakini.
 
reo hakuna mchere tutakura ugari!!
 
kyai kya moto na kikombe kya kyuma
 
kithembe au kimakonde, naona unautani na watu wa ntwara wewe, wakikuthikia utajua ka thupu inanywewa au inaliwa
 
Mm natokea thalathala naelekea mathaki nikitoka huko naenda thingida. Hahahahaaaa
 
kwa nini mthiwe wathtarabu jamani, ina maana thithi watu toka thame ndo thema yetu hiyo?
 
Back
Top Bottom