Umepiga mule mule, na mjadala ufungwe. ila umasikini mbaya sana, yani from.nowhere unachukia mtu akisafiri nje ya nchi, akipost yuko wapi, thats too much umasikini na uchawiIko hivii, nchi yetu ina raia masikini wa kutosha tu
Sasa masikini wanakawaida ya kupendana kinafiki
Yaani anapenda kusikia masikini mwenzake anauguliwa, kafiwa, kapata ajali, kaunguliwa shamba au nyumba nk
Hapendi kusikia masikini mwenzake kapata kazi nzuri, mwanae kafaulu, mwanae kaolewa na tajiri nk
Na hii ndio sababu kwenye maofisi, wale watumishi wenye mishahara minono, utawakuta bado wanavaa masuruali ya mitumba na makoti ya mitumba, ili wafanane na wale akina kajamba nani lengo wasije wakarogwa kwa kuonekana wana maendeleo.
Ikatokea masikini akapata, na kuamua kuonyesha kuwa kapata, lazima atazushiwa ya kuzishiwa, mara ooo freemason, auza ngada, shoga na kejeli kedekede, lakini yote hii ni ile kwann masikini yule kapata.
Chuki hii ni kama hii iliyoonyeshwa na mleta uzi na wote waliodisi kitenge kushowoff, tukubali tu, maisha ni kuchakalika, hao waajiri kama akina majizo sio roho za korosho, kama kazi zake unapiga fresh, hawezi kukuzuia kupiga michongo yako mingine, mjini kuchakalika. Kama anafuatilia nafasi VOA mpaka akwambie, yeye anakuonyesha anaenda USA, ili ujue kunaendeka, tega mitego na wewe uende acha kuwanga ewe masikini.
Mm mwenyewe nimejiuliza sana nikakosa majibu. Hata kama n likizo bado aendeleee kusoma magazeti kutoka Marekani?
Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Hunishindi Mimi boss. Naona Kama ni "uwack" fulani hivi.
tafuteni pesa wakuu ....wake zenu wafurahi na watoto wenu, ukianza kuchukia hustle za mwanaume mwenzio utapata shida sanaMpare mpenda sifa akitembea anavuta mgongo hadi kibiongo kishatoka hajitambui
Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Covid 19 is a political and mind control agenda ndio maana Tanzania chini ya Jemedari Mbobezi, Mkemia Bingwa, mkuu wa majeshi na mtoa amri mkuu Daktari John Pombe Joseph Magufuli, tumeukataa huo upumbavu.Ni haki yake kusafiri anakotaka na kuruhusiwa kwa hati yake na visa.
Ila Marekani miji mingi kuna Covid-19 sana, hata wakazi wenyewe tumejifungia majumbani mwetu. Hapo Atlanta Georgia alipotoka palikuwa na wimbi la Covid-19 kubwa sana.
Hivyo ninaposikia mtu anakuja Marekani, kama si safari ya lazima kindakindaki, inaweza kumhatarisha bila ulazima.
[emoji23][emoji23]naona MEMBE amevamia mpaka huku!
Hello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Kwa hiyo hakuna virus anayesababisha Covid-19?Covid 19 is a political and mind control agenda ndio maana Tanzania chini ya Jemedari Mbobezi, Mkemia Bingwa, mkuu wa majeshi na mtoa amri mkuu Daktari John Pombe Joseph Magufuli, tumeukataa huo upumbavu.
The earth is spherical, no doubt but COVID 19 is overrated.Kwa hiyo hakuna virus anayesababisha Covid-19?
What else do you have as a conspiracy?
Is the earth flat too?
You have answered a question I have not asked (whether Covid-19 is overrated or not) while not answering a question I have asked (whether Covid-19 is a real disease caused by a real virus).The earth is spherical, no doubt but COVID 19 is overrated.
Covid 19 is a real disease but it is not as dangerous as Westerners and their African puppets say.You have answered a question I have not asked (whether Covid-19 is overrated or not) while not answering a question I have asked (whether Covid-19 is a real disease caused by a real virus).
Why?
Did you not understand the question?
Do you not know how to read with comprehension?
Did you understand the question properly, but you just evaded it?
Are you stupid or malicious?
Is that a fact or an opinion?Covid 19 is a real disease but it is not as dangerous as Westerners and their African puppets say.
Mkuu kwasasa huku nyumbani we are living in a State of DenialKwa hiyo hakuna virus anayesababisha Covid-19?
Kyrie Irving Says hi...What else do you have as a conspiracy?
Is the earth flat too?
Nchi hata vipimo haipimi, halafu mtu anakwambia Covid is overrated!Mkuu kwasasa huku nyumbani we are living in a State of Denial
Kyrie Irving Says hi...
Namba Moja alishasisitiza ''Uchumi Kwanza''Nchi hata vipimo haipimi, halafu mtu anakwambia Covid is overrated!
Wakati wanaopuma wanakwambia mpakansasa huu ugonjwa hatujauelewa vizuri, kuna watu inaonekana wamepona, lakini bado wanajisikia wana matatizo fulani. Hawajajua long twrm wffects zikoje, ugonjwa umejulikana kwa muda mfupi tu mpaka sasa.
Halafu sisi ambao hatupimi tuna dismiss.
Ukweli ni kwamba, maisha ya mtu yana thamani ndogo sana Tanzania.Namba Moja alishasisitiza ''Uchumi Kwanza''
..tumegamble kwenye Herd immunity.....lets hope for the best...