Kitendo cha ITV kufumbia macho tukio kubwa la kuvurugwa kwa uchaguzi wa Mayor Kinondoni

mwehu wewe Ulimsaidia MTAJI Mengi wa KUANZISHA hiyo ITV?
Nenda kaanzishe ya kwako utakayokuwa unatangaza chochote unachoota ukikolea kiroba
uliambiwa ITV ni ya mengi, Nenda England, ITV ipo vile vile na inaitwa hivyo hivyo independent television, sio kubaki hapo hapo dar na unashabikia vitu ambavyo huvifahamu
 
NIMEFURAHI SANA CCM KUSHINDA UMEYA WA KINONDONI!! Anayebisha aandamane aone!! chadema siasa zenu za matukio zishapitwa na wakati na mwaka huu mtalia hadi mtasaga meno!! serikali ya magufuli ni serikali makini sana
kushinda kwa meya kinatokana na serikali?
 
Back
Top Bottom