Kitendo cha Heshima na Kishujaa kilichofanywa na huyu Mwanajeshi wa USA wa kwetu TZ wangekiweza?

Tatizo huwa Tunawatukuza Wazungu kuliko kujikubali,Nakumbuka ktk Msiba wa Stephen Kanumba Aliyekuwa kamishina wa Jeshi LA police kanda maalum ya Das'lam Suleiman Kova Alipiga Salute Ktk Jeneza LA marehem kanumba. Lakini cha Ajabu Badala ya kumpongeza mkaanza kubeza na kusema Mara nae ni Freemason ila daraja LA chini hivyo Kanumba Alikuwa boss wake yaani bla bla nyingi, wabongo umiza kichwa sana cjui nani kawaloga
 
Sioni jipya labda kwa sababu ujui taratibu za kijeshi ,mwili wowote bila kujali ni wa RAIA au ASKARI unapigiwa saluti na haijalishi mtu uyo alikua na umri gani .

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Km unadiliki kumwita mwenzio mpumbavu bas na ww izo akili,upeo na fikira hamna kitu.Mwenyewe kujitambua awez toa maneno ya shombo kwa mwenzio namna iyo bali atajibu kwa ekima.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Akili yako fupi kama ' Mavi ' yangu ya mchana ndiyo yamekufanya uwe ' Mpumbavu ' kama hivi ulivyodhihirisha. Nimeanzisha ' uzi ' kwa dhania Kuu mbili moja ni kusifia ' ukakamavu ' wa Wanajeshi ambao najua upo kote duniani lakini dhania ya pili ni kutaka tu ' kuhanikiza / kuchochea ' hiki Kitendo pia kama kina ' Tija ' basi si vibaya ' kikiigwa ' na hata ' Wanajeshi ' wetu. Dunia nzima Watu wanaishi kwa ' Kujifunza ' hivyo pale unapoona wenzenu wamefanikiwa mahala fulani basi siyo dhambi ' Kuwaiga ' ili mradi tu usiharibu ile misingi yenu.

Huwa napenda mno kukutana na ' Wapumbavu ' wa aina yako humu JF na kwakuwa ' Kitu ' kikubwa ambacho Mwenyezi Mungu ' amenibariki ' nacho ni ' akili / fikra / upeo ' huwa kamwe ' sichoki ' kuwafundisha jinsi ya Kujenga hoja hasa humu JF. Mada zangu nyingi ukiwa ' Mpumbavu ' kama ulivyo Wewe unaweza usizielewe ila ukituliza vizuri IQ yako utajua kuwa zinajenga au zinahanikiza jambo gani positive katika Jamii.

You're very hopeless Creature to live on this earth.
Hahaaa nimependa mapovu yenu enjoy matusizm

acha uongo
 
Kubali umechemka.ni uchizi kutoa salute kwa mzoga usiouelewa hata CV yake,possibly angejilipua na we ukafa.
Napata mashaka sana na uelewa unaojisifia nao kabla ya sisi kukusifia

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio zoba!
Gari iliyobeba maiti hupishwa hata na msafara wa rais (ni protocol)

Ujue maiti ana cheo kikubwa kuliko vyote!
Ndio maana hata ma General wa aina zote huipigia maiti salute.

Ujue maiti ana experience ya maisha kuwazidi walio hai wote.

Kuwa na heshima tafadhali kwa mwalimu wako wa kifo (maiti inakufundisha kufa)

Uoga wako tu!!!
 
Km unadiliki kumwita mwenzio mpumbavu bas na ww izo akili,upeo na fikira hamna kitu.Mwenyewe kujitambua awez toa maneno ya shombo kwa mwenzio namna iyo bali atajibu kwa ekima.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app

Mimi ukijaa tu katika ' Frame ' nakuwasha.
 
Honestly nikujibu tu huyo jamaaa alikuwa ni nanga. Alikuwa anatafuta Kiki tu.


Huku kwetu kuna taratibu za upigwaji wa salute, sio kila maiti inapigiwa salute.

Kumbuka alichofanya KOVA kwa maiti ya KANUMBA kama reference baadaey nini kili hapen.....

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Hivi katika ' Kanuni ' za Kiuandishi unajua maana au matumizi ya kuandika ' text ' nzima in capital letter? Hivi nyie Watu wengine mmesoma katika Shule na Vyuo Vikuu gani? Mbona mnakuwa ' Mangumbaru / Wajinga ' hivi? Pole sana Waziri wangu wa Elimu Professor Mama Joyce Ndalichako kwa kupitia tu huyu ' Hopeless ' nimeshagundua kwamba kweli kama alivyosema Mheshimiwa Mbatia kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU.
Zingatia kilichoandikwa na siyo muundo Wa uandishi Kusudio uelewe ulicholeta in upuuzi usiokubalika na haustahili hata kidogo.
 
Jeneza halipewi "heshima" hata kama linaenda kubeba mwili na binadamu aliyekuwa na heshima kiasi gani.
Taratibu ni kuheshimu mwili wa marehemu yeyote hata kama aliyekufa ni kichaa.
Heshima hii hutolewa iwe umevaa sare au bila sare na pia anayetoa salam hizi ni mwanajeshi yeyote bila kujali cheo chake!

Je Mwanajeshi huyu wa marekani anawakilisha Wamarekani wote (wanajeshi)?
Imemaanishwa jeneza lenye mwili wa marehemu sio tupu.
 
Kwa nin asingewafuata mpaka mazikoni!
Aliposhuka kwenye mataa uoni aliatarisha maisha yake na wengine!
Ukinga kama huu uwezi fananisha na TZA yetu ndani ya Jeshi pendwa Taifa...
 
Back
Top Bottom