GE2010 Kitendawili???

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Mwaka 2010 ulipoanza, JK aliwaita mabalozi wote wa nje Ikulu na akawapiga
mkwala mkali sana, kuwa serekali yake haitasita kuchukua hatua kwa
nchi yoyote na hata kama ni mfadhili, endapo itataka kujishughulisha na maswala ya uchaguzi wa October 31.
Nini lengo kuu la huu mkwala???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…