Papi Mucho
Member
- Aug 19, 2010
- 26
- 7
humpendi mkeo...............haya na we mwenye kitendawili nakupa mji nenda TANANGOZIdah! Nimechemka nakupa mke!
Namupenda kupita maelezo ila kumpa mji naona atakataa. Basi ngoja nijaribu mwenye kitendawili nenda Kilindonihumpendi mkeo........
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU na kunywewa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M). Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja tu katika umri wao,Je ni kitu gani hicho?
Hılı swalı nımeulızwa kama mıaka 2 lakını mpaka sasa sıjawah kupata jıbu.
Mkipata jibu nami nisitueni