Kitendawili: Wimbo mpya wa Mrisho Mpoto

hambiliki mwanangu

Senior Member
Joined
Feb 9, 2016
Posts
113
Reaction score
123
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
 
Liwimbo lote kamsifia yule fala

D.A "Mwanaume mashine"
 
yawezekana watu tunataka wote nyama but tusubili zijae ndani. hahahahaha. kasahau kuwa lazima upime upepo kama nyama zinaingizwa, wakati mwingine zikingia zinaoza na kutubwa. sasa tunaongoja lini zitajaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…