Kitendawili kilichonishinda!

Kwakwel type hiyo ya viumbe na declare waz kabisaa kuwa sio type yao wala wao sio level zangu.

Imagine una date na mtu unayemuonea huruma.
Ahahahahahah.

Nadhan kila mtu atafute pale anapoendana napo
 
mama D umesikia huku umeambiwa ukipenda bure utafi

Emu malizana nae kwanza huyo

Wanaume waoga wanazidi kuongezeka duniani
Yaani wazee wetu wangekua na akili za hawa wanaotaka kuwa sawa na wake zao sisi tusingezaliwa
 
yes mtunzeeeee then siku moja apeleke nyapu kwingine!! ujiue akaliwe vizuri.....unajua kinacho waumiza me wengi matumizi na pesa aliyotoa!
Ukimtunza inavyotakiwa hapeleki nyapu popote
Tatizo wanaume wengi siku hizi hata kujiamini hawana wanasababisha hadi wasiaminiwe
 
Nakupa talaka 3 kuanzia sasa
Naingiaje jf bila bundle
Mambo madogo hayo...mume na mke kufarakana kupo lakini kumbuka ile kitu inameza mwenzie lazima zisalimiane tuu
 
Wanaume waoga wanazidi kuongezeka duniani
Yaani wazee wetu wangekua na akili za hawa wanaotaka kuwa sawa na wake zao sisi tusingezaliwa
Berlin Conference 1995 ndio chanzo hayakuwepo mambo haya mpaka pale mlipoandamana mkaenda kutengeza declaration yenu ya 50/50 sasa kila Mbuzi ale kwa urefu wa kamba zake, yaan kwenye familia pesa za mwanaume ni za familia yake mpaka ukoo wa mwanamke unategemea hizo hizo ila fedha za mwanamke ni za kwake, inaingia akilini nini maana ya 50/50?
 
Mkuu hii hoja yako ni hoja lakini inaonyesha udhaifu wako binafsi kama mwanaume
 
Yalimkuta yapi kwani!?
Mwenzako yule aliachwa mchana kweupeeee!! kalia weeee!! sijui walimroga yule Mama?? ajabu eti limeshakuwa jitu zima likatema ndoa mweee!! akabaki na kabinti kake kaleee maskini mara zanzibar mara Mafia!

mie bhuchungu wajameni mieee!! fikiria mama D mapenzi yalivyo halafu eti unaachiwa katikati.... utajisikiaje! sema ukweli wako!
 
Sijui sababu Mimi ni Mmoravian, sijaelewa code Hata Moja🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…