Kitendawili kilichonishinda!


Wanaume ni majasiri na hawalalamiki wala kuogopa majukumu sababu wanatafuta
 
Kumtunza amekuwa bustani au kuku au mbuzi, wanawake mbona mnakuwa Mazuzu so with this ur half human sio? Ni aibu sana you act equal you think half human?

Kumbe hujuiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mwanamke sio bustani tuu bali ni ua🌷zuri ndani ya bustani
 
Usilalamike tafuta pesa

Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
yes mtunzeeeee then siku moja apeleke nyapu kwingine!! ujiue akaliwe vizuri.....unajua kinacho waumiza me wengi matumizi na pesa aliyotoa!
 
Mwanaume rijali wa akili na mwili
jamani fikirieni tu yailyo mkuta mbasha mwee hata km ni wewe....uimbaji ukakoma kabisaaa na yule dada kaona sawa tuuu mpaka leo!
 
Acha kujidanganya hio mentality ndio inayowaponza mkianza kunyanyaswa mnakimbilia dawati la jinsia kumbe mmejirahisisha, nachelea kuamini kwamba na wewe upo kwenye kundi hilo

Anayejidanganya ni mimi au wewe!???
Ungekua unaijua nafasi ya mwanaume mbele za mwenyezi Mungu ungeelewa kwamba unatakiwa kufanya nini. Ila naona umeingia kwenye lile kundi la wanaume wanaodai haki sawa kwamba wawe sawa na wanawake
 
Yaani siku hizi wanawake wanao penda vya bure mjini hawapo...
Na kama wapo asilimia kubwa wanafirwa huo ndo ukweli.
 
Anayejidanganya ni mimi au wewe!???
Ungekua unaijua nafasi ya mwanaume mbele za mwenyezi Mungu ungeelewa kwamba unatakiwa kufanya nini. Ila naona umeingia kwenye lile kundi la wanaume wanaodai haki sawa kwamba wawe sawa na wanawake
Oooho huko kumbe ndio mnakokimbiliaga kwa mwenyezi Mungu, ila mnasahau nyinyi ndio mliokitibua kule Eden baada ya kubanduliwa na nyoka shetani hadi tukafukuzwa bustanini au ushasahau?
 
jamani fikirieni tu yailyo mkuta mbasha mwee hata km ni wewe....uimbaji ukakoma kabisaaa na yule dada kaona sawa tuuu mpaka leo!
Yalimkuta yapi kwani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…