Kitendawili kilichonishinda!

Mila zinatofautiana mzee sisi watu wa Pwani kawaida sana kumtunza ila sio kimada.Hata mkeo anafanya kazi bank we unauza mkaa utahusika kununua hata vocha yake....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hakuna aliyelilia haki sawa ila kwa nini mgeuke ombaomba,hamuoni aibu kugeuka ombaomba
Kama huna hela achana na wanawake plain and simple waache wenye hela waendelee kuwahudumia

Kwa kukusaidia hutakaa uwabadilishe wanawake ndo jinsi walivyo, kama huna hela endelea kula kwa macho

Unamwamke na una mentality kama Zako utasaidiwa vibaya mno
 
Vijana mna kazi ya ziada, kupindua mazoea ya vizazi na vizazi sio lelemama. Imezoeleka mwanaume atamuomba mwanamke UCHI naye ke ataomba matunzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo huo ndo ukweli wenyewe huwez badilisha tabia ya asili ya mwanamke ya utegemezi kama huna hela ni Bora uachane na wanawake sababu usipohudumia utasaidiwa sana
 
Mi nawagonga nikimpa ni nauli tu na maneno
 
Mtoa mada pole kwa kupitiliziwa mizinga, komaa kiumea Cha kulia Lia.
 
Na wewe kwa nini udate mwanamke wa hivyo? Si utafute anaejimudu.
Naona watu wanachanganya kujibu, ku date maana yake huyo siyo mkeo, hivyo mnaweza kuelewana bei mkamalizana.
Kutunza mke ni wajibu wa mumewe, kama ni mama wa nyumbani unategemea awe na vocha ya simu toka kwa nani? Lazima utimize mahitaji ya nyumbani na mahitaji binafsi ya mkeo hakuna wa kumpa vocha zaidi yako.
 
Tofautisha malaya na decent women, inaonekana umezoea malaya wale ndo unakubaliana nao bei baada ya ku-do ndo imeisha hiyo siku nyingine ukiwa na hela ndo umtafute

mwanamke wa Kawaida ambaye sio malaya mko kwenye mahusiano, na hata kama sio mke wako lazima uhudumie hilo haliepukiki, hayo ndo madhara ya kutumia malaya kwa mda mrefu
 
Wanaume wa hivyo tunataka wanawake wenye akili na maadili. Sio omba omba wanaotegemea mwanaume ili waishi
Maadili ya mwanamke yanategemea sana akili za mwanaume
Ndio maana mliambiwa muishi nao kwa akili
 
Maadili ya mwanamke yanategemea sana akili za mwanaume
Ndio maana mliambiwa muishi nao kwa akili
Wewe huko hujalelewa vizuri unategemea mwanaume aliyekukuta ukubwani akibadilishe. Kuishi na nyie kwa akili sio kukupa hela
 
Wewe huko hujalelewa vizuri unategemea mwanaume aliyekukuta ukubwani akibadilishe. Kuishi na nyie kwa akili sio kukupa hela
Uzuri mwanaume ndio mwenye maamuzi ya aoe lini na amuoe nani.

Na Ikitokea mwanaume ameoa ambaye hajalelewa vizuri ni ujinga na uzembe wakeπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Halafu at the sametime unamcheat na tena na msela ambaye hawezi kukununulia hata chupi ya mtumba.
Kwa kweli mbarikiwe sana mungu azidi kuwabariki kwenye udangaji wenu
 
Halafu at the sametime unamcheat na tena na msela ambaye hawezi kukununulia hata chupi ya mtumba.
Kwa kweli mbarikiwe sana mungu azidi kuwabariki kwenye udangaji wenu

Ukichagua mwenye alikudangia, ukapumbazwa na msabwada au maumbile ya nje usitegemee akaacha kuwadangia wengine
Kuwa makini unapotafuta mke ili umpate wa kufanana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…