Kitendawili kilichonishinda!

Hao watakuwa mafisadi wa tozo zetu maana wanazichota tu haziwaumi kuzigawa kwa malaya
 
Yaani ndio unipotezee. Dah hii serious nimemaind.
Nilipotea kidogo lakini sijaona jitihada zako kunitafuta 😂😂

We Mind tu, jioni nitakupikia wali na maharage
 
Madem wa sampuli hiyo huwa mm nafanya kuwavizia tu nikisha mkita mbupu aise anachezea block dem gn huwez haja kujinunulia hata dk za mtandao mmoja
 
Wanawake bana ila mi nilishaacha uzwazwa wa kuabudu uchi ***** unajikuta unapoteza pesa nyingi kwa sababu za kipuuzi ukiuliza eti hudumia mwanamke wako Nonsense.

Na hawana hata shukrani unatoa pesa nyingi na mshamba mmoja hatoi hata mia na anapewa huo huo uchi unaolipia gharama kubwa, Boys angalia maisha yako mwanamke inabidi vitu vingine aweze kumudu mwenyewe sasa mpaka vocha sijui pedi Nonsense.

Tumewekwa kwa mtego kuishi maisha ya kutumikia wanawake[emoji3]
 
Madem wa sampuli hiyo huwa mm nafanya kuwavizia tu nikisha mkita mbupu aise anachezea block dem gn huwez haja kujinunulia hata dk za mtandao mmoja

[emoji28][emoji28]tusiendekeze wanawake vichomi maana hata ukimuoa siku umewekwa selo mwezi mmoja unamkuta na mimba ya mangi
 

[emoji16][emoji28]
 
Sure
 
Badilisha formula aisee wao wanatumia k zao tu kijinufaisha ila yeye Hana kila kitu,
 
Hao watakuwa mafisadi wa tozo zetu maana wanazichota tu haziwaumi kuzigawa kwa malaya

Wewe naweeee
Tafuta pesa ili uache mawazo mgando kwamba kila anayezitumia kumtunza mke wake ni fisadi na zikusaidie kutambua kwamba mwanamke kupewa pesa na mwanaume wake sio umalaya
 
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini!

Fikiria unatoka na mwanamke ambaye hana uwezo wa kujinunulia bando!
Mnyiramba ndugu wa Mwigulu mzee wa tozo alafu unalalamika bando tu kwa mwanamke ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…