Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
Mwanaume anammiliki mwanamke ndo maana jambo lolote mwanamke akitaka kufanya anaomba ruhusa kwako, kama hummiliki kwa nin anaomba ruhusa kwakoNani anatumia fantasy hapo😂😂😂, eti ninammiliki huyu kwasababu pesa zipo nyingi. Utakufa vibaya ndugu. Mtoto ndio anafikiria kuwa na pesa ndio atapata na kumiliki vyote🤣🤣
Nani kakwambia mahari inakuwezesha kummiliki mtu😂😂😂. Hiyo ni tafsiri tu ila maisha ya reality siyanaonekana, jaribu kujitetea mahakamani kuwa nimemfanya hili huyu mwanamke kwasababu na mmiliki. Wewe ni nani ummiliki mwenzako.Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewa
Nimegundua wewe ni mtoto ulipoanza kuntaambia kwamba una budget kubwa unayotumia nikagundua wewe ni mtoto
Dhana ya kumtolea mwanamke mahari maana yake nammliki au Nina authority juu yake Sasa na hili hulijui nikagundua wewe ni mtoto na napoteza mda
Mkuu we ni mdogo sana Kuna mambo mengi sana hujui have a nice weekendNani kakwambia mahari inakuwezesha kummiliki mtu😂😂😂. Hiyo ni tafsiri tu ila maisha ya reality siyanaonekana, jaribu kujitetea mahakamani kuwa nimemfanya hili huyu mwanamke kwasababu na mmiliki. Wewe ni nani ummiliki mwenzako.
Naunga mkono hojaBasi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
Tofautisha malaya na decent women, inaonekana umezoea malaya wale ndo unakubaliana nao bei baada ya ku-do ndo imeisha hiyo siku nyingine ukiwa na hela ndo umtafute
mwanamke wa Kawaida ambaye sio malaya mko kwenye mahusiano, na hata kama sio mke wako lazima uhudumie hilo haliepukiki, hayo ndo madhara ya kutumia malaya kwa mda mrefu
Nani alikwambia ni mmiliki wa familia😂😂😂. Wewe ndio kiongozi wa familia bali sio mmiliki acha ushamba, na kiongozi huweza ondolewa akishindwa kuongoza. Watoto tu wanaweza tolewa mikononi mwako ukiwa hujui kuongoza sembuse mke. Narudia tena, wewe hummiliki mtu yeyote acha ushambaMwanaume anammiliki mwanamke ndo maana jambo lolote mwanamke akitaka kufanya anaomba ruhusa kwako, kama hummiliki kwa nin anaomba ruhusa kwako
Unajua waaposema mwanaume ni kichwa Cha familia wanamaanisha yeye ndo mmiliki wa familia
Umeshawahi kuishi na mwanamke, moja ya sababu ndoa nyingi kuvunjiaka ni sababu vijana kama wewe hamko responsibleMalaya sio hadi ajiuze barabarani!,kuna hadi wake za watu malaya!,kama Mwanamke ukitaka kusex nae lazima akutangazie shida yeyote kwanza ujue huyo ni malaya!,mfano unaweza ukasema watu wanaiba sababu ya umaskini!,je?maskini wote ni wezi?,shida haziwezi kuisha Dunia hii kama ukiendekeza shida!,utakufa na utaziacha shida zipo!,tusiendekeze wanawake malaya kwa kigezo cha shida
😂😂😂 eti we mdogo. Nani anatumia Fantasy na feelings hapo hadi kubuni umri wangu kuwa wewe ni mkubwa zaidi yangu. Ungekuwa unajua, usingeingiza matusi na hisia. Ungefocus kudiscuss mada husika nasio kuniattack na kujiona wewe ni mwenye busara. Nice weekend brother.Mkuu we ni mdogo sana Kuna mambo mengi sana hujui have a nice weekend
🤣🤣🤣 we ndio umeona responsibilities ni kuteketeza pesa kwa mwanamke ambaye huna hata commitment naye ndo uniambie nimevunja ndoa, aisee. Tumia akili, maisha yangu huyajui ushayajudge, acha kutumia hisia na fantasy 😂😂Umeshawahi kuishi na mwanamke, moja ya sababu ndoa nyingi kuvunjiaka ni sababu vijana kama wewe hamko responsible
Nimeshamaliza na wewe, we endelea kuamin unachoamin una uhuru huo mbona hujiamini dogo mwanaume ni pamoja kuwa na msimamo Sasa we huna🤣🤣🤣 we ndio umeona responsibilities ni kuteketeza pesa kwa mwanamke ambaye huna hata commitment naye ndo uniambie nimevunja ndoa, aisee. Tumia akili, maisha yangu huyajui ushayajudge, acha kutumia hisia na fantasy 😂😂
Sitaki kuja PM. Lakini tuwe serious kidogo, mbona ulikua kimya?Mdogo wangu 😂😂😂
Sasa uliniambia nice weekend nashangaa unaendelea kunijibu😂😂😂 sasa nani hajiamini. Mimi nilijua pale ndio mwisho ila ukaendelea, be logical mkuu.Nimeshamaliza na wewe, we endelea kuamin unachoamin una uhuru huo mbona hujiamini dogo
Elfu 2 unaita rubbish😅😅😅Upuuzi sana. unakuta dem anakuomba elfu 2, rubbish [emoji1362][emoji2781]
Wewe ndo umeendelea kuniquoteSasa uliniambia nice weekend nashangaa unaendelea kunijibu😂😂😂 sasa nani hajiamini. Mimi nilijua pale ndio mwisho ila ukaendelea, be logical mkuu.
Hii reply uliyoniquote sijakujibu wewe, mim nimeshamalizana wewe, lakin haimaanishi nisiwa reply watu wengine🤣🤣🤣 we ndio umeona responsibilities ni kuteketeza pesa kwa mwanamke ambaye huna hata commitment naye ndo uniambie nimevunja ndoa, aisee. Tumia akili, maisha yangu huyajui ushayajudge, acha kutumia hisia na fantasy 😂😂
Hapa sasa umetupiga changa la macho[emoji23][emoji23][emoji23], mwanamke kwenye mahusiano hamfanyi maendeleo pamoja wala hahusiki kwenye wewe kujijenga hivyo ustawi wako kipindi cha mahusiano ni wako mwenyewe. Umtunze labda kwalipi[emoji23][emoji23], ngono, duh! Basi ndio maana jamii haiendelei. Tambua uhusiano ukijenga ufa, huna cha maana ulichofanikisha lakini sindoani. Msipoteze vijana, tutajenga taifa masikini linalojali ngono tu na mwishowe anguko la taifa.
You can never have authority over anyone, binadamu si ng'ombe wala robot. Akiamua atafanya atakalo na wewe huwezi kumfanya chochote kwakuwa hamna sheria inayotaja hilo jambo, hata ndoani sheria hazipo hivyo. Mtu kukuheshimu haitokani na wewe kumhudumia sana[emoji23][emoji23], watu wamewadharau wazazi wao sembuse wewe mtu baki aliyekuona juzi. Akili mtu wangu, we toa kwasababu umependa ila sio useme authority [emoji23][emoji23][emoji23].
Mke wako si ndio mwanamke wako!?
Siku hizi kuna ambao wake zao ni wanaume wenzao na wanawatunza
Sisi tunasema mke anayetakiwa kutunzwa ni awe mwanamke
Hayo mambo ya kutunza wanawake wasiokua wenu ni matatizo ya kujitakia[emoji38][emoji38]
Kumuhudumia mwanamke haimaanishi hawez chepuka, fahamu kuchepuka ni tabia[emoji28]mwambie amuulize mama mchungaji kama mchungaji alikuwa haudumii ama Vipi!