Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,107
- 34,928
iweje Simba wengi waitwe Simba? wakati Simba mmoja anaitwa Simba?Simba!!
Sawa Mkuu Je Simba itakuwa..........?Kama kitu(thing) inakuwa vitu. Mtu(man) anakuwa watu. Noun hii ina anza na odd consonant y kwa hiyo katika wingi unaichukulia kama non living thing. Gari(gari) yawa magari. Therefore YAI itakuwa mayai. Phonology.
Sawa Mkuu Je Simba itakuwa..........?
SimbasSawa Mkuu Je Simba itakuwa..........?
Sitaki mji nataka jibu mkuuNikupe mji?
iweje Simba wengi waitwe Simba? wakati Simba mmoja anaitwa Simba?