Kitendawili cha Morocco vs Tanzania elections za 2015

Don Draper

Senior Member
Joined
May 30, 2012
Posts
176
Reaction score
87
Sasa inaonekana Membe ni front runner.... Lowassa inabidi aje na mpya.

Mnakumbuka kamati ya Ulinzi na Usalama ilipoenda Morocco bila kumjulisha Membe?
Mnajua reaction ya Membe ilikuwa ni ipi? Na kweli kama mtu wa intelligence alienda kule kuwanyoosha akina Zungu na Lowassa.....lakini hakuishia hapo:

Kile kitendawili kimejibiwa hapa kwenye hii website :

IKULU BLOG | Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais

Sasa kama mimi ningekuwa ni balozi wa Morocco Tanzania basi ingebidi nitafute plan B maana hii red carpet na ma pomps yote haya naamini ni mambo ya yule alimni wa Johns Hopkins

Lowassa nakushauri uje na strategy nyingine kwani kila kukicha Membe is miles ahead of you.
 
Hivi, kitu gani kilimpelekea Lowassa kuingilia suala la Morocco na Polisario?
 
Membe kiboko....jamaa wa Polisario hayo ma pomp aliyopewa ningekuwa Lowassa now ningeacha tuu hayo ma dream ya Morocco
 
..Kitine anadai Membe amehongwa pesa na wa Morocco.

..sasa ina maana huu mwaliko wa Polisario ni kuzima soo?? au ndiyo tuseme Membe kawatapeli wa Morocco??

..tatizo ni kwamba huu upuuzi wote unafanyika kwa gharama[kodi] zetu walalahoi.

.
 
Rabat - HM King Mohammed VI received a message from Tanzania's president, Jakaya Kikwete. AaAaAa The message was conveyed by visiting Tanzanian Minister of


..sitashangaa kama Mfalme wa Morocco akifanya ziara Tanzania.


 

..inaonyesha Membe ndiye aliyesafisha njia kwa kamati ya Lowassa kutembelea Morocco.
 
Wee Don, baada ya accusation kwamba wewe kila mara unam-blast Membe hapa jamvini kwa kila jambo, sasa hivi umeamua kuwa protagonist wake?! Mhhh, I wonder what is behind this change of hearts...
 
akhaaaaa! Nimekimbilia faster nikijua ni issue za football match Kati ya Atlas Lions na Taifa Stars kumbe! Duh!
 
Wee Don, baada ya accusation kwamba wewe kila mara unam-blast Membe hapa jamvini kwa kila jambo, sasa hivi umeamua kuwa protagonist wake?! Mhhh, I wonder what is behind this change of hearts...

Kaka sijakuelewa nimemblast wapi Membe?

naomba unionyeshe post au thread niliyo mblast membe
 
Membe vs Lowasa ni gemu nzuri nawengi watakula jamani waacheni wapambane, M4C tuko kamili apande yeyote ulingoni lazima tumpe TKO !
 
Vita vya malawi sasa nadhani mmeona wote wawili wametoa statements lakini mmoja kaamua kwenda mbele zaidi.
 

Hali ikoje sasa?
cc JokaKuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…