Kitendaweli jamani? Tega nikutegue?

Kitendaweli jamani? Tega nikutegue?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Jamani nina Swali langu linaniumiza kichwa nimeulizwa Swali mpaka sas sijapata jibu kutoka akilini mwangu kuna watu wameniuliza swali lenyewe ni hli (Je Anayefaa kuitwa neno Mzazi ni baba Au Mama?) na ni kwanini aitwe Mzazi ?Nawaombeeni majibu toka kwenu ndugu zangu Mubarikiwe haya tena mchanga wa pwani huo mimi simooooooooo
 
Anaezaa ndo mzazi, kwa hiyo kama baba naye anazaa then naye mzazi unless otherwise..lol
 
Kwa hiyo baba hawezi kuitwa Mzazi? kwa sababu hazai?kwani anayetoa mbegu ya uzazi ni nani?

Mkuu kama ulivyosema baba anaTOA mbegu wakati mama anaZAA. Hapo ni kama mkulima na muuza mbolea, hiki cheo cha kujiita mzazi nadhani wababa tunajipendelea kama wabunge wa JMT na posho.. :lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom