La tatu lipo upande wa pili kwa nyuma
Tunafanya tukidhani ni ubunifu kumbe....!!!
Ohooo,mumewe ajipange. Maana hapo naon kuna mafiga mawili, yasije tumika kama demo…
Mie sioni mafiga hapo, hebu tizama vizuri na si nusu nusu 🙂🙂
Waona nin ?
Doris atakuwa mzaramo full ngomani kila inayoitwa weekend hasa kipndi hiki cha mavuno!Naona mafiga full kuchepuka hapo
Mid nimelipenda hilo kuni linalowaka ni zurii!!!