nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Alternatively ni kutoka zile outin za mchana; lunch. Zina work saana; kwani mnaweza toka na mtoto mchanga pia. That is what I usually do nikiwa na watoto wadogo. Nashukuru Mungu wanangu wamekua sasa. Ila asikwambie mtu huwezi kuwa na watoto wadogo na ukang'ang'ania maisha yaende kama zamani; unless you are a bad mom.
Sasa badugu labda kama ni house wife..hebu niambie katika wiki nzima unapata masaa mangapi ya kukaa na watoto?maana kwa hali halisi kila asubuhi uko barabarani kuwahi foleni kuingia nyumbani tena hadi usiku mtoto hapati malezi ya kutosha ..mara mdada naye anatembelewa na mlinzi wa jirani who knowz watoto wanaona mengi hadi huruma ..kifupi watoto nao wanahitaji att zetu sana. tukisema baba na mama evry wkend muandamane sijui itakuwaje lol labda tuseme mama ashinde na watoto wakishalala ndio umfwate hubby