arnolds
Senior Member
- Oct 10, 2009
- 105
- 57
....lol... Usipite tena.... Thanks for the acknowledgement.
hahaa, no worries..next time i'll just pass by!
....lol... Usipite tena.... Thanks for the acknowledgement.
Mwambie Cheusi anitafute nimpe hiyo manual ya Kamasutra (Drawn from the Indians)......Don't ask me questions kwa sababu hii thread ni kwa wanawake tu nilikuwa napita kusalimia.....lol
mmmh baby wetu ngoja nikupm maana siku si nyingi nitakuwa muhusika kuna mtu kafika dauMwambie Cheusi anitafute nimpe hiyo manual ya Kamasutra (Drawn from the Indians)......Don't ask me questions kwa sababu hii thread ni kwa wanawake tu nilikuwa napita kusalimia.....lol
..Hodi humu!Samahani kwa kuingia,najua hatukatazwi hata kuchombeza,ngoja niangalie wachangiaji ili come january nijue mashambulizi nayaanzia wapi,(nimebadili msimamo!)
kuna presentation naenda kufanya mahali naona huku mnanimalizia make up yangu love u all badae saa nanewapi unaenda sa ivi Smile....Neno linasema Enyi waume....wapemdemi wale zenu......kama Kristu alivyolipenda kanisa.....wale mke asikose kumstahi mumewe.....(Efe 5:25-32)Nami nitarudi baadaye 'kumalizia'
Sweetheart, Nice stuff babygal. But, I say but, I doubt its sustainability, especially when those little ones start to arrive in the family na majukumu ya mama kuongezeka. Then huyu Mfalme unayemfuga humu ndani kwa lusts zote hizi ataanza kuwa mbogo kwa kuona baadhi zimepungua. All I can say ni take the basics- Heshima, care na trust.
Mhhh!! Angalia tu mwenzako asije kuwa yeye anapenda porn moviesmmmh baby wetu ngoja nikupm maana siku si nyingi nitakuwa muhusika kuna mtu kafika dau
Hahahaha!!! Nikimpa hiyo manual nitamwambia "Handle With Care" maana ile manual haina tofauti na mtu anayefanya dissertation reportOMG!! Simshauri.... asije muhama mchumbake bure!! Yaani PA ilitakiwa usiingie hapa sababu ushafanya hivo you have to contribute in courtesy ya Cheusie..
ndo nini hzo switi babyMhhh!! Angalia tu mwenzako asije kuwa yeye anapenda porn movies
Well, lets agree at this moment although hiyo ya both parts playing the game equally linantatiza. But frankly nimeipenda sana bandiko lako naliprint nkalisome weekend nami nianza kujinoa hahahahahahaNimependa hapo.... Na ni ya msingi saana. Na naaminii kama huna the above ulotaja huwezi fanikiwa pale juu.... Hayo maelezo dear ukiangalia kwa ukaribu sio kwamba faida yake ipo pande moja, naona ni pande zoote hata kwa mke mwenyewe... Because of you Respect, care and Trust then you will inevitably take care of him in the most possible ways - na sina maana iwe one sided... NO! He is responsible and obliged too....
Utaziona tu subiri....lolndo nini hzo switi baby
Asante AD kwa huu uzi umetufunza wengi. Am still here,learning.
Uende ukaufanyie kazi ili uwe na familia bora na si bora familia
Kaizer,niko hapa nakucheki tu,na ukiniuzi nitashusha 'mianaume ndivyo tulivyo...part 2' na ndo kilio kitakuwa kikubwa zaidi maana hiyo nita base kwenye madudu yetu ya kitandani tu.Baby.....hapa hakuna substitution mpenzi....huyu FLY anaweza kutafuta sehemu nyengine tu ili aujue ukweli kama una muda au la.....besides...me ndo najua the exact truth so worry not.....lol
leo walau tutakuwa na break from Bishanga's outburst.....
Inategemea kaka angu midume yenyewe siku izi inabebeka basi?