Kitchen designers

Nyaubwii

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
227
47
Habari zenu JF,

Naomba mwenye kufahamu designers wa kitchen na counters anijuze. Nataka kufungua restaurant, nipo Dar es salaam.

Natanguliza shukrani.
 

Kasesela

Member
May 10, 2010
44
10
Ndugu Nyaubwii,
Kama kweli unataka kufungua Restaurant siyo swala la ku-dsign na FFE, bila inaanzia kwenye Concept ya Restaurant yenyewe, ni ya aina gani, wateja gani; halafu pawe na Schematic proposal, hapa ndipo huyo designer atakuja na Sketches ku-test Concept kabla ya mambo mengine.
Ukitaka ushauri wa kitaalamu kabla ya designing nipigie 0787 330200
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom