Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
View attachment 132499View attachment 132500View attachment 132501
nilipoingia hizi house I was apalled with only kichen design, Killarney Building Company big up sana
yani mm ya kwanza na ya mwisho zimenivutiaje weeweeee
Mkuu mi nayapenda haya yetu sana tuJerrymsigwa hata kama ni kugoogle ila zinaweza kutengenezeka na sidhani kama gharama zake ni za juu sana mradi uwe na nafasi kubwa kwenye jiko lako na usiliminye sana
Vitu kama hivi halafu unamkuta bi mkubwa kawasha mkaa ndani.
Unaongelea kuwezesha? Mpaka wapi? hujui walichokifanya Tanesco na Ewura?Bi mkubwa atawasha mkaa bila ya sisi kumuwezesha? Acha hizo!
View attachment 132499View attachment 132500View attachment 132501
nilipoingia hizi house I was apalled with only kichen design, Killarney Building Company big up sana
What do u mean?[/QUOTE][hat dQUOTE=TCleverly;8409408]they are not practical.
What do u mean?
ni ngumu kutumia kwa matumizi ya kawaida ya jikoni kila siku.....sina maana kwamba huwezi kutumia jiko kama hili.