Hi wana JF
Nahitaji mtaalam au kampuni ya kudesign na kutengeneza cabinets za jikoni. Awe ana kazi halisi alizowahi kufanya, au samples kwny duka/workshop/show room yake. Kama ana picha, basi ziwe halisi alizopiga mwenyewe na si za magazetini. If you know one, please nijulishe. Namba yangu ni 0767000641
Thanks