Niliona kuna demu kamuandikia barua jamaa yake anataka simu nzur kama ya lulu ili na yeye awakimbize instagram
Niliona kuna demu kamuandikia barua jamaa yake anataka simu nzur kama ya lulu ili na yeye awakimbize instagram
N8likutana na msanii mmoja maarufu mahali
Walahi nilimwangalia mpaka nikajishtukia
Tofauti kabisaaaaaaaa na picha zake za insta
Chezea applications mtu anang'arisha rangi na kujiongezea wowowo ----
Camera zinadanganya sana, unaweza kudhani umemfananisha...
Shukrani za dhati ziwafikie kina Xionzghou Xhang kwa kuwang'arisha watu...
hivi kwanini watu wanachukia weusi? hiyo swali najiuliza sipati jibu
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Ukinipm ntakuelekeza nilipo uchukue dawaa hhhhaaaaaaaaaaaaa kwa maelezo zaidi piga simu na. 07******
Ni siriaz ukichukulia utani utajijejei ukiona aibu waweza tumia ID mpya kwi kwiiiii
ili siku tukigombana unchambe nilinnua dawa na unisambAze pm
sina bwawa ila utanipa fo further use
Kim nana njoo nauza dawa ,nishapata wateja watano shauri yenu
Hhhhhhaaaaaaa nilijuaaa tu hiyo hamna kusambazanaaaa banaa,basi nikupe bure wewe kwa wewe tu,msiogope hii haina kusambazana,we kana unaumwa usiogopeee bana aibu kubwa kunuka k njoo basi na Id mpyaa
Shoga me nashukuru bado haijaongezeka urefu wala upana...kama unabisha muulize Docta.
Kama una dawa ya kupunguza mdomo nipe...manake huu mdomo nisipoangalia nitaachika lol...! Mwanamke mshakunaku kama nini....
Hhhhhhhhhaaa binamu umbea ntakupa lakini zinakuja id mpya tu halaf hiz ni siri bana binam we upojee utawafanya wagonjwa waogopee
waogope kitu gani? Basi hao hawataki kupona, ID mpya? Hapana binamu usiwauzie naomba uwauzie wanachama wakongwe na members wa humu jamii forum, walau wawe wamejiunga na jamii forum miez mitano iliyopita au sita, nataka tuwaone wale wakina mwaflani, ebu nitajie Hizo ID kwa PM nichunguze kama ni members wa mda au wagen, kama ni wagen tunawapa vichambo kwanza na watoe faini ya buku kumi kila mmoja, wasituletee ujinga apa, aya binamu
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Hii ni kwaajili ya wanaonuka k. k diaba a.k.a mabwawa mmepatiwa ufumbuzi nna dawa toka Arabuni ya kufanya k iwe mnato na tait na waliooza k,
Haya muwahi dawa sio nyingii wateja ni wengi,hata WOLper kaitumia kapona kabisaa k
Mmmh mkuu huyu mdada ilikua imeoza au inanuka?