Camera 360...
inabidi namimi ninunue hizo simu.nilivyo black itasaidia nionekane mwarabu.
Nunua harakaaa ww hhhaaa

Dinazarde unanihamasisha? Nitanunua mwaya.
black anaonekana hivyo! na akipiga mweupe ataonekanaje? ...........
Grand PA
inabidi namimi ninunue hizo simu.nilivyo black itasaidia nionekane mwarabu.
Camera 360...
Nunua harakaaa ww hhhaaa
Kabisaa , maana kuna siku nilimuona live pale shamo tower mbezi yan kapauka tofaut na uko insta
Nunua usichelewe...we unadhani zile vurugu za instagram zinasababishwa na nini? Kitu 360 na mifilter ya kufa mtu...mkikutana live unaweza ukakimbia.
N8likutana na msanii mmoja maarufu mahali
Walahi nilimwangalia mpaka nikajishtukia
Tofauti kabisaaaaaaaa na picha zake za insta
Chezea applications mtu anang'arisha rangi na kujiongezea wowowo ----