Kitanda, sofa, dressing table na laptop vinauzwa

Haa Haa Haa pamoja mkuu huko kijijini wanamuongelea vip mkuu wa nchi
yaani wananchi wa kawaida wanafurahi kupita maelezo,wanaona raha sana wanaposikia fulani alikuwa anakula pesa ya serikali kwa njia isiyo halali au kwa kukweba, wakisikia jipu wanafurahi mnoo...
Me nahisi ni kwa sababu wao walikuwa hawayafaidi hayo manoti aisee ka namna yoyote ileee!!
 
Duh kweli kijijini na ccm wamefunga ndoa
 
Kama una stress basi njoo Jamiiforum, maana utacheka balaa.
Kuna Comments za ajabu humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom