mkuu ni Pm namba yako na niambie unakaa mtaa gani nije kuzoa vyote hivyo, na kuna kingine ambacho umekisaha utaongezea hapoKitanda cha mbao 5*6 box design-200,000/=,dressing table simple ya mbao-80,000/=, laptop acer portable nyeusi-275,000/=, sofa leather la watu wawili hadi watatu-85,000/=kwa anayehitaji nakutumia picha pm, makubaliano yanaruhusiwa, kuhama na vitu kwenda mkoa mwingine ni shida,ukihitaji picha na ku pm, asanteni