elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Nipo Dsm kwa sasa
Bei nimekuwekea mkuuHILO SOFA LA WATU WAWILI SH NGAPI
nitumie basi hata picha mkuuBei nimekuwekea mkuu
Ni pm namba yako au nita ku pm pichantu
nitumie basi hata picha mkuu
mkuu ni Pm namba yako na niambie unakaa mtaa gani nije kuzoa vyote hivyo, na kuna kingine ambacho umekisaha utaongezea hapoKitanda cha mbao 5*6 box design-200,000/=,dressing table simple ya mbao-80,000/=, laptop acer portable nyeusi-275,000/=, sofa leather la watu wawili hadi watatu-85,000/=kwa anayehitaji nakutumia picha pm, makubaliano yanaruhusiwa, kuhama na vitu kwenda mkoa mwingine ni shida,ukihitaji picha na ku pm, asanteni