Kitanda na godoro vinauzwa

Kitanda na godoro vinauzwa

My story

Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
23
Reaction score
3
Hii si ya kukosa kabsa kitanda na godoro lake vinauzwa bei sawa na bure. Godoro ni Tanfom nchi 10 na kitanda chake cha chuma..vyote ni vipya.
Location ni nzega Tabora..
Pia kama utahitaji na chumba naweza kukuachia nimelipia miezi mitatu..kodi ni 50k kwa mwezi ila ukinipa laki inatosha..
Godoro nimenunua 350k kitanda 240k ila mimi Kitanda na godoro vyote nauza 470k tu.

Sababu ya kuuza.
Nililetwa kikazi huku mwezi huu nikanunua hivyo ila sasa nimepata uhamisho wa kwenda Tunduma nikiwa sijamaliza hata mwezi huku.
Kama utavihitaji karibu PM.
FB_IMG_1565131104783.jpeg
1565133623317.jpeg
 
Hii si ya kukosa kabsa kitanda na godoro lake vinauzwa bei sawa na bure. Godoro ni Tanfom nchi 10 na kitanda chake cha chuma..vyote ni vipya.
Location ni nzega Tabora..
Pia kama utahitaji na chumba naweza kukuachia nimelipia miezi mitatu..kodi ni 50k kwa mwezi ila ukinipa laki inatosha..
Godoro nimenunua 350k kitanda 240k ila mimi Kitanda na godoro vyote nauza 470k tu.

Sababu ya kuuza.
Nililetwa kikazi huku mwezi huu nikanunua hivyo ila sasa nimepata uhamisho wa kwenda Tunduma nikiwa sijamaliza hata mwezi huku.
Kama utavihitaji karibu PM.View attachment 1174156View attachment 1174157
Umeuza tayar mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom