Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,100
nimejisikia vibaya maana kama vile niliona kabisa ana maumivu ya moyo.daaah nimecheka aiseee jamaa usiku usiku
nimejisikia vibaya maana kama vile niliona kabisa ana maumivu ya moyo.daaah nimecheka aiseee jamaa usiku usiku
Nataka mtungi huo
Weka picha
nimejisikia vibaya maana kama vile niliona kabisa ana maumivu ya moyo.
Mlishaambiwa.. Atayekuwepo Dar mpaka mwezi wa 7, mwanaume...Usije kuta alimnunulia dem sasa kamfumania kaona isiwe taabu bora kuuza maana nyumbani ukirudisha maswali yatakuwa mengi.