Kitanda cha Mninga 6*6 (180,000/=)

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Kitanda cha 6*6 cha mninga kinauzwa , kipo kwenye hali nzuri.
Kimetumika mwaka na nusu.

Kipo na Chaga zake(Pia chaga zake ni mninga).
Muuzaji anahitaji hela ya haraka.

-0684 14 14 76
Kipo Dar-es-Salaam , picha utatumiwa(Nimeshindwa kuweka hapa).
 
Ule utafiti ya kwamba "Kunguni hawasikii dawa" hapa pia unajidhihirisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…