Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,278
- 7,954
- Thread starter
-
- #21
Litapatikana bossNahitaji godoro la kupulizia hewa la mtu mmoja sijui linaweza kupatikana kwa njia ipi
Si unahitaji kama hiloNahitaji godoro la kupulizia hewa la mtu mmoja sijui linaweza kupatikana kwa njia ipi
Yamewekewa wadudu wanaoambukiza covid19. Achana nayo hayoNahitaji godoro la kupulizia hewa la mtu mmoja sijui linaweza kupatikana kwa njia ipi
Weka aina zake na bei mkuuSi unahitaji kama hiloView attachment 2261992
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Hayatoboki mkuu au kupata panchaMm nauza yale magodoro ya kujaza upepo ukubwa ni futi 4X6.
Bei iko fixed mkuu haishuki haipandiPungufu yake ikoje
Bk ni bukoba au? Nipo Tabata Dar es salaamOk ntajipanga uko sehemu gan ? Mi nipo bk
Tabata karibu na hospitali ya Madonna ofisi yetu inatazamana na Fitness zone GymUpo tabata gan mkuu? Mi nahitaji vitanda kwa ajili ya migodini