Kitanda 5x6 na godoro lake kinauzwa

Kitanda 5x6 na godoro lake kinauzwa

Habari wakuu.

Nauza kitanda ch futi 5 x6, (mbao ya mninga) pamoja na godoro lake (dodoma QFL). Kitanda ni kizuri.

Bei 220,000/= Mawasiliano:
Mpaka unafikia kukiuza kimeshalaliwa na wanawake wangapi?
 
Back
Top Bottom