Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Nunua upeleke ugwenoSitii neno nisijevuruga biashara za watu
Nunua upeleke ugwenoSitii neno nisijevuruga biashara za watu
Kwa kitanda hicho unamlaumu kweli akilala chini??🤣🤣🤣🤣Mkuu,kwahiyo wewe utakua unalala chini?
Ugweno ndio wapi huko wanalalia vitanda vya satiniNunua upeleke ugweno
hata kama una hela ndio ununue hicho kitanda laki sita kweli? wachana tu na hiyo hela anayotaka kuuza yeye😆Hum mnajikutaga matajiri wote usikute mnavyolalia vinatia aibu ila sasa kwa kukosoa vya wenzenu... Wekeni vyenu tuone acheni upuuzii kama huwezi kununua na huna hela si upite hivi kuliko kuponda?
Una kukataa kwenuUgweno ndio wapi huko wanalalia vitanda vya satini
mkuu wewe kama hauhitaji kuna mtu mwingine atahitaji..na pia kama wewe hujapenda design hiyo ni taste yako....sio lazima kila mtu apende unachopenda wewehata kama una hela ndio ununue hicho kitanda laki sita kweli? wachana tu na hiyo hela anayotaka kuuza yeye😆
Kwetu?Una kukataa kwenu
Hapana ni kwao jinga weKwetu?
Jichanganye wakuposti na mishumaa.Hapana ni kwao jinga we
Kwa wew mfupi kama kufuri? 😂Jichanganye wakuposti na mishumaa.
asante mkuuKila la kheri
Famba weweKwa wew mfupi kama kufuri? 😂
SAWA MWEREVU....ILA HANUNUI MTU LABDA MWEHU😄...!mkuu wewe kama hauhitaji kuna mtu mwingine atahitaji..na pia kama wewe hujapenda design hiyo ni taste yako....sio lazima kila mtu apende unachopenda wewe
bei niliyotengenezea kwa kila kitu hapo ndo hiyo nililizika nayo.......na bei nayouzia ndo hiyo hiyo nimepanga...kwa atakae hitaji na ana hela pungufu ndo anatakiwa kunitafuta niongee nae..
saa nyingine jitahidi kuficha ujinga wako mkuu
Wachina watatuuzia fenecha zao hadi tunaingia kaburi aise. Sa mtu na akili zako timamu, unanunuaje takataka kama hii!!?Kitanda kinauzwa
NAUZA bei...ni 250,000..
pamoja na kila kitu (taa zake,bedsides,hicho kibox cha kutunzia vitu )mi nilitengenezakwa 650,000
mahali: gongolamboto
piga simu 0683473391
uje ukague uchukue
View attachment 3420891
View attachment 3420892
View attachment 3420896
Kwani wewe ni mrefu? 😂Famba wewe
Nunua bed dogo na taa zakeMuitie wasukuma wa JF ndo vitu vyao hivyo 😹
Sauti ya msukuma kabisa hiiHum mnajikutaga matajiri wote usikute mnavyolalia vinatia aibu ila sasa kwa kukosoa vya wenzenu... Wekeni vyenu tuone acheni upuuzii kama huwezi kununua na huna hela si upite hivi kuliko kuponda?
Sawa NgoshaHum mnajikutaga matajiri wote usikute mnavyolalia vinatia aibu ila sasa kwa kukosoa vya wenzenu... Wekeni vyenu tuone acheni upuuzii kama huwezi kununua na huna hela si upite hivi kuliko kuponda?