Kitanda 5×6 kinauzwa

Kitanda 5×6 kinauzwa

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
437
Kitanda kinauzwa
ukubwa ni 5×6
kina bed sides zake
kina taa zake
kina hicho cha kutunzia vitu kama nguo n.k
kimetumika miezi michache
unavoona kwenye video ndivo kilivo kila kitu isipokuwa kufutwa vumbi tu
ni kikubwa kweli kweli kinataka kumaliza dirisha urefu wake kwa juu
kwenye video kinaeza onekana kidogo hiv ila live ni balaa

NAUZA bei...ni 250,000..

pamoja na kila kitu (taa zake,bedsides,hicho kibox cha kutunzia vitu )mi nilitengenezakwa 650,000

mahali: gongolamboto

piga simu 0683473391

uje ukague uchukue

Screenshot_20250727_102437_Gallery.jpg

a
Hum mnajikutaga matajiri wote usikute mnavyolalia vinatia aibu ila sasa kwa kukosoa vya wenzenu... Wekeni vyenu tuone acheni upuuzii kama huwezi kununua na huna hela si upite hivi kuliko kuponda?
asante mkuu...bora umesema wewe

anayehitaji kwa maongezi zaidi anipigie 0683473391
 
Mkuu huku hamna wanunuaji Kuna wachoraji, nenda whatsap business lipia sponsor kulingana na location unayotaka wateja watokee weka bei nzuri utauza chapu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom