KITANDA 5 KWA 6 KINAUZWA sh. 200000/=.. MTI MNINGA ORIGINAL

Sawa hakuna shida....huu msimu hilo dau ni lefu mkuu. Maana mm nilitangaza km hicho kwa bei ya 130,000/= lakini sikupata mnunuzi, wawili wakasema watanunua nivute subra ...lakini nao wakaingia mtini....baada ya kuwasubiria wiki mbili. Anyway kila laheri kwako...utapata wanunuzi
 
Kama bado hauja uza njoo pm mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom