Kitambulisho cha taifa

Kina umuhimu sana, ukisikia mtu anasema hakina umuhimu mwekee walakini eitha ni operation kimbunga ama ni wale wanaojifanya kuishi huko nje kwa hiyo wanaona eti wanataka vitambulisho portable mara sijui viwe na smart phone ndani yake

hakina umuhimu kwani hakina details za kutosha hata ukienda maeneo kama benki havikubaliki.
 
..NIDA .......wangetupa maelezo kuhusu vitambulisho vyao kukataliwa na mabenki
 
hakina umuhimu kwani hakina details za kutosha hata ukienda maeneo kama benki havikubaliki.

mkuu embu tuwekane sawa kwanza.ni mazingira/huduma gani havikubariki huko bank?.kufungulia account?,kuombea mkopo?,.....funguka ili wahusika wa NIDA waone na watolee maelezo kwa faida ya wote.
 
Basi kama ndio mko kwenye mchakato huo, ina maana kuwahi kwenu hakukuwa na maana sana kwani huku Bongo hicho kitambulisho kina features zote hizo mnazotarajia kuja kuzipata baadaye, yaani personal information za mwenye ID. Bongo tulichelewa, lakini kilichotoka ni bora kuliko what yo have!
 

hahaha wewe unahasira za kukosa kitambulisho cha taifa.pole sana.
halafu nimegundua mnao ponda hizi ID ni diasporas, ila msiwe na hofu mtapata tu pale wazo la uraia pacha litakapo ridhiwa mwaka 2030.lmao
 
Rahisi mno tena unavaa size 10.5 /11"na una urefu wa 5.8ft! na 72 kgs

mwanga wewee!,umejuaje...hahaha.haya bhana ngoja nikuache usije ukanirushia yale mambo yenu.
 

tena wewe kahtaan ulivyo extremist,nina hakika TISS wamesha blacklist info zako. siku ukitia mguu wizara ya mambo ya ndani kuomba national ID,wanakuweka chemba kwanza for interrogation.bora ubaki tu bila kuwa nayo mkuu.teh teh
 
mwanga wewee!,umejuaje...hahaha.haya bhana ngoja nikuache usije ukanirushia yale mambo yenu.
Usihofu mzee among other profesional ihave ,i am also an artist i projected your fingers what kind of arm will have,and your shoes(sole of your feet how long is the leg ,with those legs how long and wide is your torso then i saw part of your id -neck and shoulders -ukijua kuchanganya hayo kwa imagination ya sanaa ya kuchora inakuwa easy ku guess!
 

retarted tribal king, mgojwa wa akili, kamwone daktari!!!!!
 

it's ok,the guy who appears to hold the ID in the photo,somehow corresponds with your imagination features .yah he his tall and wears shoe #11 .but you missed one thing son,it aint me in the photo!.he is my colleague.just asked him to attach the image of his ID in my thread.that it.nipo nae hapa kazini.
 
Hivyo vinavokubalika soon vitakuwa havikubaliki then National ID itachukua nafasi yake

huyo jamaa nimembana pale juu aeleze havikubariki bank ktk huduma gani,kaingia mitini,mana kama ni kufungua account bank, taratibu tunazijua.wabongo bhana.
 
Lawmaina at woooork.....!...bila kuikosoa Tz kidogo huwa hasikii raha....ndio maana wanawake zenu wa central kenya huwa wanawashughulikia vilivyo....wewe ulivo kuwa critisizer mzuri,atachoma huo mdomo!
 
Iv kwa nn walitoa kwa baadhi ya watu izi NATIONAL ID's?? wengine hawastaili izi vitu au ndio tuje tuvinunue baadae?? Vitambulisho hivi vinazua maswali mengi sana aisee??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Iv kwa nn walitoa kwa baadhi ya watu izi NATIONAL ID's?? wengine hawastaili izi vitu au ndio tuje tuvinunue baadae?? Vitambulisho hivi vinazua maswali mengi sana aisee??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mkuu vuta subira,vinatolewa kwa awamu kutokana na eneo.imagine mi mwenyewe mchakato rasmi wa hii kitu niliuanza mwaka 2012,nikachuliwa fingeprint pamoja na picha mwaka 2013,lakini nimekipata wiki chache zilizo pita mwaka huu.imenichukua takribani miaka miwili na miezi kadhaa.ktk kata yangu ninayo ishi,almost wale wote waliojisajiri na kutimiza masharti,wamekabidhiwa ID zao.sijui huko mliko nyie.ila kuna haja wadau waliopo NIDA watolee ufafanuzi kuondoa utata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…