Ni kitambulisho cha Taifa(Citizen Identity Card).Nina wiki kama mbili tangu nikabidhiwe.Ambapo sasa ID hiyo sambamba na zingine,natembea nayo 24/7 kwa majivuno na kwa kujiamni kwenye Wallet yangu.
Kuna bandiko hapa Jf mwana-Diaspora mmoja anadai Kitambulisho cha Taifa hakina umihumu wowote,kwamba hati ya kusafiria(Passport) inatosha kutambulisha Utaifa wake.Je ni kweli Vitambulisho vya Taifa havina umuhimu wowote?,au ni maneno ya mkosaji aliyeukana utanzania na kuzamia huko ughaibuni.wakuu tupeane uzoefu kuhusu hili. lawmaina78 tunajua huko ''kwenyu'' hii kitu ''mukonayo'' miaka ''mingi''.embu mutupee uzoefu ''yenyu'' tafadhari,ukizingatia kwamba kwa hapo nairobi unapo kutana tu na Karao(Askari),iwe Mchana ama Usiku,kauli ya kwanza ni ''embu onyesha sisi ID yako".
sitashangaa karao wa tz watakapo geuza kosa la kutotembea/kutokuwa na national ID,mradi wa kuwapatia pesa ya bia na nyama choma.time will tell.LOL
Najua kwa East Africa na kwa Tanzania bara tumechelewa kupata national ID,ila si vibaya tukajidili.
CC Nyugunyugu wa mama Matola Hute Mtimti et al
Nawasilisha.
NB:wakuu samahani kwa ubora duni wa picha,nimetumia simu ya kichina.
Kina umuhimu sana, ukisikia mtu anasema hakina umuhimu mwekee walakini eitha ni operation kimbunga ama ni wale wanaojifanya kuishi huko nje kwa hiyo wanaona eti wanataka vitambulisho portable mara sijui viwe na smart phone ndani yake
View attachment 178510
Kitambulisho cha Taifa(Citizen Identity Card).
Nina wiki kama mbili tangu nikabidhiwe.Ambapo sasa ID hiyo sambamba na zingine,natembea nayo 24/7 kwa majivuno na kwa kujiamini kwenye Wallet yangu.
Kuna bandiko hapa Jf mwana-Diaspora mmoja anadai Kitambulisho cha Taifa hakina umuhumu wowote,kwamba hati ya kusafiria(Passport) inatosha kutambulisha Utaifa wake.Je ni kweli Vitambulisho vya Taifa havina umuhimu wowote?,au ni maneno ya mkosaji aliyeukana utanzania na kuzamia huko ughaibuni. Wakuu tupeane uzoefu kuhusu hili.
lawmaina78 tunajua huko ''kwenu'' hii kitu ''muko nayo'' miaka ''mingi''.embu mutupee uzoefu ''yenu'' tafadhari,ukizingatia kwamba kwa hapo nairobi unapo kutana tu na Karao(Askari),iwe Mchana ama Usiku,kauli ya kwanza ni ''embu onyesha sisi ID yako".
sitashangaa karao wa TZ watakapo geuza kosa la kutotembea/kutokuwa na national ID,mradi wa kuwapatia pesa ya bia na nyama choma. Time will tell. LOL
Najua kwa East Africa na kwa Tanzania bara tumechelewa kupata national ID,ila si vibaya tukajadili.
CC Nyugunyugu wa mama Matola Hute Mtimti et al
Nawasilisha.
NB:Wakuu samahani kwa ubora duni wa picha,nimetumia simu ya kichina.
mbona haina mahali ya signature, na kuonesha mahali anapoishi mwenye id hiyo..na wapi kimetolewa.mimi naona kiko too local
Walichoandika ni sex in Swahili Ni jinsi... Gender Ni njisia wapo sahihi nida.. Big up nida maimu, makami,bathowond,R.Is,data entry mnafanya kazi nzur sana..I used to be thereDah! hili halina mjadala, jameni kitambulisho cha taifa ni fahari ya kila mwananchi. Kinakupa mwamko mpya kujihusu na kuhusu nchi yako. Kinakufanya unahisi kuwa connected na raia wengine wote. Hii ndio mojawapo ya sababu Wakenya huwa tunajivunia Ukenya na uraia wetu.
Tatizo Bongo ni kuwa, mpo sana taratibu (slow) kwa kila kitu halafu hatimaye huwa mnajikuta kufanya kile mlichokataa.
Sisi tayari sasa tupo kwenye michakato ya ku-digitilize kitambulisho cha taifa, kiasi kwamba Mkenya hatakuwa na haja ya kuelezea majina yake upya kila akihitaji huduma iwe chuo, hospitali n.k. Yaani central database itakuwa na taarifa zetu sote.
Afu, wafahamishe NIDA warekebishe hicho kitambulisho chako, neno gender kwa Kiswahili ni Jinsia sio Jinsi
Kina umuhimu sana, ukisikia mtu anasema hakina umuhimu mwekee walakini eitha ni operation kimbunga ama ni wale wanaojifanya kuishi huko nje kwa hiyo wanaona eti wanataka vitambulisho portable mara sijui viwe na smart phone ndani yake
Walichoandika ni sex in Swahili Ni jinsi... Gender Ni njisia wapo sahihi nida.. Big up nida maimu, makami,bathowond,R.Is,data entry mnafanya kazi nzur sana..I used to be there
Umuhimu wake nini tofauti na ID zingine?
Bank pia hawavipokei kwa vile havina sign,ni deal la wachache ila labda wenzetu wa mataifa mengine watufahamishe kama huwa havinaga sahihi,ila mbona walitusainisha?zimeenda wapi sahihi zetu?daaa ni ndio tzmbona haina mahali ya signature, na kuonesha mahali anapoishi mwenye id hiyo..na wapi kimetolewa.mimi naona kiko too local
vya nje vingi vina sign mkuuila mleta mada hii anasema kuna code sijui mpaka ingizwe kwa system ndiyo wataiona na details zaidi khsu mwenye kadi....lakini za wwnzetu sign ipo ..national id ya tz haina maelezo mengiBank pia hawavipokei kwa vile havina sign,ni deal la wachache ila labda wenzetu wa mataifa mengine watufahamishe kama huwa havinaga sahihi,ila mbona walitusainisha?zimeenda wapi sahihi zetu?daaa ni ndio tz