Aisee kwa usumbufu wa namna ya kupata kitambulisho cha nida..nakitunza sana kisipotee mm ni mtu wa kusafiri safari sana.
Inanibidi ni tembee na soft copy ya kitambulisho kwenye simu.
Kama sina simu kubwa ntatembea na hardcopy yake ,na kama sina simu au hazina chaji imenifanya nikariri Nida namba.