Kitambulisho cha taifa cha Levini Peter Tluway kimeokotwa

Kitambulisho cha taifa cha Levini Peter Tluway kimeokotwa

jeez boy

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
112
Reaction score
243
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kimeokotwa kitambulisho cha taifa maeneo ya KNCU MOSHI MJINI, JIRANI NA PUB ALBERTO.

Kwa yeyote anayemfahamu au mwenye taarifa ya muhusika awasiliane na mimi. Jina lililopo kwenye kitambulisho ni LEVINI PETER TLUWAY, JINSIA, MWANAUME

8b14c585ec2a9f7204d53e9a8db42b79.jpg
 
kipeleke kituo cha polisi maeneo hayo huenda na yeye aliripot utakuwa umemsaidia
 
Tatizo la huyo jamaa analewa sana yaani wikiendi nzima yeye ni kulewa hadi anapoteza vitu.
 
Mshenzi sana wewe mtu kitambulisho kimepotea wee unaleta mambo yako yakifala!Pumbafu kabisa!
Mbona Hasira Mkuu hata huku maisha ni magumu kama huko usidhani mimi ndiye nimekusababishia hiyo hali kikubwa vumilia, pia omba sana Mungu.
 
Mbona Hasira Mkuu hata huku maisha ni magumu kama huko usidhani mimi ndiye nimekusababishia hiyo hali kikubwa vumilia, pia omba sana Mungu.
Kuchafuliana CV sio vizuri asee!.Zipo sababu nyingi zinaweza kusababisha kupoteza kitambulisho nk na si kweli kwamba kila mtu anapopoteza kitu kalewa!
 
Hivi ikitokea mtu kauwawa ukaokota kitambulisho chake ukapeleka polisi si utaisaidia polis asee
 
Back
Top Bottom