Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya